Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Usiku mwema nawe pia

Pia nimeamini uzushi, uongo, fitina vina mwisho wake -- yaani Mr Mzungu Mbelgium angali bado analazimisha nadharia za Nairobi & India ziwe kweli wakati PM & VP wameshasema Bulldozer anachapa kazi Ikulu!!!Ama kweli ^Kipenda roho hula nyama mbichi^ Sijawahi kujua hivi watu hawa hawana haya!??? Au ndiyo wameishiwa haya na sasa wana yaleee!???
 
Yaleee yameshapotea machoni pangu
 
Back
Top Bottom