Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Makuu wanayo si uliona walivyolichezea shamba la bibi yao hapo kablaWajukuu wasio na makuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makuu wanayo si uliona walivyolichezea shamba la bibi yao hapo kablaWajukuu wasio na makuu
Kabla ya yote, karibu chaiMakuu wanayo si uliona walivyolichezea shamba la bibi yao hapo kabla
Chai haipiti mpendwa, wacha nimlilie kwanza MagufuliKabla ya yote, karibu chai
Magufuli ametangulia, katuachia huzuni kama taifaChai haipiti mpendwa, wacha nimlilie kwanza Magufuli
Taifa letu halitampata mtu wa aina yake hivi karibuni!Magufuli ametangulia, katuachia huzuni kama taifa
Taifa letu halitampata mtu wa aina yake hivi karibuni!
Viongozi wanatakiwa kuwajibika kwa wananchiHivi karibuni tutaziona njozi zake zikitimizwa tena kwa weledi & kasi ya ajabu kwa sababu alipanga timu imara ya viongozi
Wananchi wanatakiwa kuungana na viongozi ili kuendelea kuijenga Tanzania yetu nzuri ambayo kipenzi chetu ameifikisha hapa
WaTanzania tumepata pengo kubwa kuondokewa na Kiongozi shupavu na mzalendo𝐇𝐀𝐏𝐀 𝐓𝐔𝐋𝐈𝐏𝐎 𝐍𝐈 𝐌𝐀𝐓𝐎𝐊𝐄𝐎 𝐘𝐀 𝐔𝐏𝐀𝐌𝐁𝐀𝐍𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀𝐊𝐄, 𝐊𝐖𝐀 𝐀𝐉𝐈𝐋𝐈 𝐘𝐄𝐓𝐔 𝐒𝐈𝐒𝐈 𝐖𝐀𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀.
Adhimu na ni nadra kuzipataWaTanzania tumepata pengo kubwa kuondokewa na Kiongozi shupavu na mzalendo
Hivyo tuenzi fikra na Ilani zake adhimu...
Kuzipata yahitaji moyo na ari wa kujitoa Swadaka..
Swadaka zangu nawapatia wanaJF na raia wanyonge...Kuzipata yahitaji moyo na ari wa kujitoa Swadaka..
Wanyonge wamejaa mtaani hawana ajiraSwadaka zangu nawapatia wanaJF na raia wanyonge...
Ajira zitapatikana tu chini ya uongozi mpyaWanyonge wamejaa mtaani hawana ajira
Uongozi mpya inabidi kuupa supportAjira zitapatikana tu chini ya uongozi mpya
Support yangu ya nguvu nawapa akina MAMA
Mama mi mama hakuna mbadala wakeSupport yangu ya nguvu nawapa akina MAMA
Wake 2 au wanne haina sintotulizwa na mmoja!!
Mmoja anatosha kabisa wanne hapanaWake 2 au wanne haina sintotulizwa na mmoja!!