Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Vidole vyetu vinapishana hivyo maisha na riziki zetu zinatofautiana !!Kusajili kwa alama za vidole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vidole vyetu vinapishana hivyo maisha na riziki zetu zinatofautiana !!Kusajili kwa alama za vidole
Zinatofautiana rangi zile gariVidole vyetu vinapishana hivyo maisha na riziki zetu zinatofautiana !!
Hizo ngebe zako ZZ bado zipo!Gari zipi hizo?
Zipo meseji nyingi xna ila Zamiluni zamiluni lazima uwe mshindi maana daaahHizo ngebe zako ZZ bado zipo!
[emoji1787][emoji28]
Daaah !! Jamani mie ni mtumishi wenu nasubiri maelekezo...Zipo meseji nyingi xna ila Zamiluni zamiluni lazima uwe mshindi maana daaah
Maelekezo yapi hayo mzee babaDaaah !! Jamani mie ni mtumishi wenu nasubiri maelekezo...
Baba alinisihi niende kutafuta ajiraMaelekezo yapi hayo mzee baba
Ajira ni ngumu bora ujiajiriBaba alinisihi niende kutafuta ajira
Ujiajiri bila mtaji ni kujiweka Rehani..Ajira ni ngumu bora ujiajiri
Rehani ya nini we ndugu yangu nilipotea siku nyingi, hali yako kiongoziUjiajiri bila mtaji ni kujiweka Rehani..
Kiongozi ni mtu muhimu mwenye majukumu yenye kuaminika yasiyo potosha...Rehani ya nini we ndugu yangu nilipotea siku nyingi, hali yako kiongozi
Yasiyopotosha maneno ya wenye hekima --- ^Najua mtanikumbuka, si kwa mabaya bali kwa mazuri kwa sababu nimesacrifice maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wote^Kiongozi ni mtu muhimu mwenye majukumu yenye kuaminika yasiyo potosha...
Wote tumeshuhudia na kukiri...Yasiyopotosha maneno ya wenye hekima --- ^Najua mtanikumbuka, si kwa mabaya bali kwa mazuri kwa sababu nimesacrifice maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wote^
Kukiri kwamba Tanzania, ndani ya miaka mitano imebadilika kabisa kuwa bora zaidi, ndio uungwana na uzalendo wenyewe huoWote tumeshuhudia na kukiri...
Huo utajenga utaifa na Imani kubwa kwa vizazi vya mustakabaliKukiri kwamba Tanzania, ndani ya miaka mitano imebadilika kabisa kuwa bora zaidi, ndio uungwana na uzalendo wenyewe huo
Mustakabali wetu wenye tija ni kuifikisha nchi yetu mahali ambapo tunavirithisha vizazi vyetu taifa bora zaidi kuliko tulivyolipokea sisi hapo awaliHuo utajenga utaifa na Imani kubwa kwa vizazi vya mustakabali
Awali tulichukuwa miaka mingi kujitambua...Mustakabali wetu wenye tija ni kuifikisha nchi yetu mahali ambapo tunavirithisha vizazi vyetu taifa bora zaidi kuliko tulivyolipokea sisi hapo awali
Kujitambua wakati huo ilikuwa ngumu sana kwa sababu ya ukali wa shambulio la wale maadui watatu --- ujinga, maradhi & umaskiniAwali tulichukuwa miaka mingi kujitambua...
Bora umaskini wa fedha kuliko umaskini wa mawazoKujitambua wakati huo ilikuwa ngumu sana kwa sababu ya ukali wa shambulio la wale maadui watatu --- ujinga, maradhi & umaskini