Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Mamlaka ni hadhi isiyo pingwa wala kujadiliwa..Uamuzi upo juu ya yule mwenye Mamlaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamlaka ni hadhi isiyo pingwa wala kujadiliwa..Uamuzi upo juu ya yule mwenye Mamlaka
Kujadiliwa ni ni namna bora ya kupata fikra sahihiMamlaka ni hadhi isiyo pingwa wala kujadiliwa..
Fikra sahihi ni kuzingatia itikadi na Ilani..Kujadiliwa ni ni namna bora ya kupata fikra sahihi
Ilani ya chama inabidi kuzingatiwaFikra sahihi ni kuzingatia itikadi na Ilani..
Kuzingatiwa inategemea na maelekezo
Maelekezo yanayotolewa ni muhimu kuyazingatiaKuzingatiwa inategemea na maelekezo
Kuyazingatia maelekezo utapata ufanisi
Ufanisi umeambatana na weledi wa utendaji..Kuyazingatia maelekezo utapata ufanisi
Utendaji lazima uwe makiniUfanisi umeambatana na weledi wa utendaji..
Umakini ktk kila harakati ni Jambo la utashi...Utendaji lazima uwe makini
Umakini ktk kila harakati ni Jambo la utashi...
Jambo Baby !! Mie hupenda kuwajulia na kuwasalimu wapendwa !!Utashi utumike ktk kupambanua jambo
Wapendwa ni jamaa zangu wote wa TanzaniaJambo Baby !! Mie hupenda kuwajulia na kuwasalimu wapendwa !!
Wapendwa ni jamaa zangu wote wa Tanzania
Kati ya mada na wachangiaji kipi hapa kinashida..?Mashariki ya kati
Kinashida kishadaKati ya mada na wachangiaji kipi hapa kinashida..?
Kishada changi umepotea angani...Kinashida kishada
Angani kuna mawingu mazito ya mvua,huenda ikanyesha.Kishada changi umepotea angani...
Ikanyesha mvua kubwa sanaAngani kuna mawingu mazito ya mvua,huenda ikanyesha.