Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Asali ni dawa ya asiliyake sukari tamu kuliko asali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asali ni dawa ya asiliyake sukari tamu kuliko asali
Asili ya mtu haijifichiAsali ni dawa ya asili
Haijifichi hswa ni kama tabiaAsili ya mtu haijifichi
ajipange mara ngap kijana anakuzimia kweliAnampenda asiempenda inabidi ajipange
Kweli ajipange mke wa mtu sumuajipange mara ngap kijana anakuzimia kweli
Maziwa ya ngamia ni dawa ya koronasumu haimdhuru gheto ana maziwa
corona ya wapi bhana ujue mchizi unamtesaMaziwa ya ngamia ni dawa ya korona
Unamtesa housegirl hujui ni binaadamucorona ya wapi bhana ujue mchizi unamtesa
binadamu wengine hawana hurumaUnamtesa housegirl hujui ni binaadamu
Huruma ya Mungu ni kuu mnobinadamu wengine hawana huruma
"Mno" humaanisha zaidi na zaidi.Huruma ya Mungu ni kuu mno
Zaidi ukizingatia sisi ni wakosefu"Mno" humaanisha zaidi na zaidi.
Wakosefu wanastahili kupewa adhabuZaidi ukizingatia sisi ni wakosefu
Adhabu inayoendana na makosa waliyotendaWakosefu wanastahili kupewa adhabu
Hayaelezeki kwa sababu ni aibuwaliotenda kina mage usiku wa jana hayaelezeki
aibu kubwa ni pale utakapogundua kumbe jamaa ana kibamiaHayaelezeki kwa sababu ni aibu