Mkulu wawe
Member
- Mar 4, 2020
- 87
- 111
Nyasi zinakaribia kuota kwenye kibarua Cha NdungulileMakampuni yamesababisha kibarua cha mtu kiote nyasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyasi zinakaribia kuota kwenye kibarua Cha NdungulileMakampuni yamesababisha kibarua cha mtu kiote nyasi
Ndungulile ni kitu gani,mbona sikijuiNyasi zinakaribia kuota kwenye kibarua Cha Ndungulile
Sikijui kitu cha kufanya usiku
usiku ulikuwa mrefu pale mzenaSikijui kitu cha kufanya usiku
Mzena ndiyo wapiusiku ulikuwa mrefu pale mzena
wapi wanapotibiwa viongoziMzena ndiyo wapi
Viongozi wetu wanatakiwa waongoze kwa haki na sheriawapi wanapotibiwa viongozi
Sheria zinatumiza sana sisi tulio tabaka la chiniViongozi wetu wanatakiwa waongoze kwa haki na sheria
Chini ya mti kuna chui amelala,tahadhariSheria zinatumiza sana sisi tulio tabaka la chini
Tafadhali ukarudi Tena kwenda pekee yako
Yako maneno yanaleta faraja ndani ya moyoTafadhali ukarudi Tena kwenda pekee yako
Moyo wa mkosaji anastahili kupewa nafasi ya pili lakn sio mkosaji wa kosa lilelile
Lilelile jambo tulilokubalianaMoyo wa mkosaji anastahili kupewa nafasi ya pili lakn sio mkosaji wa kosa lilelile
Tulilokubaliana kuwa mwisho ndio mshindi, Je nani ameshakuwa mshindi?Lilelile jambo tulilokubaliana
Mshindi hajapatikana, uzi bado unaendeleaTulilokubaliana kuwa mwisho ndio mshindi, Je nani ameshakuwa mshindi?
Unaendelea mpaka lini... wakati mda ni sasa tukiwa tunatamaki kuomuona bingwaMshindi hajapatikana, uzi bado unaendelea
Bingwa ni yule atakaekuwa wa mwishoUnaendelea mpaka lini... wakati mda ni sasa tukiwa tunatamaki kuomuona bingwa
Mwisho wa uzi huu ni kama kusubilia kahawa kijiweniBingwa ni yule atakaekuwa wa mwisho
Kijiweni kuna story za uongoMwisho wa uzi huu ni kama kusubilia kahawa kijiweni
Uongo sio mzuri katika maishaKijiweni kuna story za uongo