Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Maisha yana mitihani mingiUongo sio mzuri katika maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yana mitihani mingiUongo sio mzuri katika maisha
mingi na mingine hukosa majibuMaisha yana mitihani mingi
Majibu ya vipimo yanaogopeshamingi na mingine hukosa majibu
Yanaogopesha law sbb ni POSITIVE corona imedhihiri...Majibu ya vipimo yanaogopesha
Imedhihiri kwa sababu hatuchukui tahadhariYanaogopesha law sbb ni POSITIVE corona imedhihiri...
Tahadhari tunaitikia law maneno tu ila vitendo tunatembea uchi hata Barakoa inatushinda!!Imedhihiri kwa sababu hatuchukui tahadhari
Inatushinda kwa sababu tunaishi kwa mazoeaTahadhari tunaitikia law maneno tu ila vitendo tunatembea uchi hata Barakoa inatushinda!!
Mazoea tana tabu ni nyimbo zilipendwaInatushinda kwa sababu tunaishi kwa mazoea
Zilipendwa kwa sasa zimepitwa na wakatiMazoea tana tabu ni nyimbo zilizopendwa
Wakati ni mwema kweli kila tukio lina historia..Zilipendwa kwa sasa zimepitwa na wakati
Kustaajabu kwako bado hujajifunza !!!Historia ya Tanzania ina mengi ya kustaajabu
Hujajifunza kwa sababu ni kichwa ngumuKustaajabu kwako bado hujajifunza !!!
Ngumu kuelewa wakati mwalimu anafundishaHujajifunza kwa sababu ni kichwa ngumu
Ngumu eeeh?? Basi nakuaga going to sleep..usiku Mtamu!!Hujajifunza kwa sababu ni kichwa ngumu
Anafundisha kwa makini ingawa ujuzi hanaNgumu kuelewa wakati mwalimu anafundisha
Mtamu kama asali ya nyuki wadogoNgumu eeeh?? Basi nakuaga going to sleep..usiku Mtamu!!
Wadogo zangu msinizinguwe acheni !!Mtamu kama asali ya nyuki wadogo
Acheni kwa kuwa sio tabia njemaWadogo zangu msinizinguwe acheni !!
Njema huonekana uzeeniAcheni kwa kuwa sio tabia njema