Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Kugeuka walimu kuikosoa serikali muache!!!Jitikisa unapo weza kugeuka !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kugeuka walimu kuikosoa serikali muache!!!Jitikisa unapo weza kugeuka !!
Muache shangazi aseme na atapike yote mnayomtendea ..Kugeuka walimu kuikosoa serikali muache!!!
Msingi wa maisha ni elimuMaombolezo hayana msingi
Mnayomtendea mstaafu yanapaswa kukemewaMuache shangazi aseme na atapike yote mnayomtendea ..
Elimu ni ufunguo wa maishaMsingi wa maisha ni elimu
Elimu yako ikuache usome kabla ya kujibu...Msingi wa maisha ni elimu
Kukemewa ni Moja ya kuonywa..Mnayomtendea mstaafu yanapaswa kukemewa
Maisha ni mapambaniElimu ni ufunguo wa maisha
Kujibu ni vizuri zaidiElimu yako ikuache usome kabla ya kujibu...
zaidi tuwaheshimu wazeeKujibu ni vizuri zaidi
Wazee wengi wamezeekazaidi tuwaheshimu wazee
wamezeeka angali umri wao ni mdogoWazee wengi wamezeeka
Mdogo mdogo sasa wanaanza kufulia.wamezeeka angali umri wao ni mdogo
Kufulia usiombe Kiongozi, maisha yanakwenda na kubadilikaMdogo mdogo sasa wanaanza kufulia.
Kubadilika huko kwa maisha kunategemea pia na tabia ya mtu husika.Kufulia usiombe Kiongozi, maisha yanakwenda na kubadilika
Husika na kichwa cha habari hapo juuKubadilika huko kwa maisha kunategemea pia na tabia ya mtu husika.
Juu kwa juu kama ndege za magufuliHusika na kichwa cha habari hapo juu
Mpana kama pishi la pilauNdege kama chombo cha anga kina utaalamu na wadhifa mpana ...
Pilau ya Samaki ina faida kubwa mwilini...Mpana kama pishi la pilau