Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Mwilini kuna madhaifu ya kila ainaPilau ya Samaki ina faida kubwa mwilini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwilini kuna madhaifu ya kila ainaPilau ya Samaki ina faida kubwa mwilini...
Kila aina za udhaifu kuna Vitamin za kuziregeza...Mwilini kuna madhaifu ya kila aina
Kuzilegeza ni rahisi kama ukitumia vilainishiKila aina za udhaifu kuna Vitamin za kuziregeza...
Vilainishi vya mitambo vya viwandani huitwa grisi au shehemu!!Kuzilegeza ni rahisi kama ukitumia vilainishi
Sehemu kubwa ya hivyo vilainishi huwa ni mafuta.Vilainishi vya mitambo vya viwandani huitwa grisi au shehemu!!
Mafuta ya kupikia yamepanda beiSehemu kubwa ya hivyo vilainishi huwa ni mafuta.
Bei ya mafuta kwa sasa ni changamoto.Mafuta ya kupikia yamepanda bei
Changamoto sana, inabidi serikali ifanye jambo ili kutukomboa wananchiBei ya mafuta kwa sasa ni changamoto.
Wananchi hawana budi lazima ununue ili tuishi...Changamoto sana, inabidi serikali ifanye jambo ili kutukomboa wananchi
Tuishi kwa upendo na amani, maisha ni mafupiWananchi hawana budi lazima ununue ili tuishi...
Mafupi kutokana na mawazo ya kupanda kwa gharama za vituTuishi kwa upendo na amani, maisha ni mafupi
Vitu ni vingi hatuwezi kuvikamilisha kwa wakati mmoja...Mafupi kutokana na mawazo ya kupanda kwa gharama za vitu
Mmoja kujitoa sadaka ili kuokoa wengi ni jambo la heri sana.Vitu ni vingi hatuwezi kuvikamilisha kwa wakati mmoja...
Sana sana akijitoa sadaka kwa moyo mkunjufu bila shurti yoyoteMmoja kujitoa sadaka ili kuokoa wengi ni jambo la heri sana.
Yoyote ni muhimu kuwa tayari kujitoa sadaka kwa moyo wote.Sana sana akijitoa sadaka kwa moyo mkunjufu bila shurti yoyote
Kwa moyo wote tunaungana na maAzimio ya utawala wa awamu hii....Yoyote ni muhimu kuwa tayari kujitoa sadaka kwa moyo wote.
Hii ni tabia nzuri iendelee na kwa awamu zinazofuata.Kwa moyo wote tunaungana na maAzimio ya utawala wa awamu hii....
Zinazofuata ni nguvu na damu mpya za vijanaHii ni tabia nzuri iendelee na kwa awamu zinazofuata.
Zinazofuata ni nguvu na damu mpya za vijana
Kazi ndio njia sahihi ya kujikwamua na kuondokana na umasikiniVijana fanyeni kazi