Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Uzi huu hauwezi kwishaAma zake ,ama zangu kwa yeyote atakayethubutu kuendeleza huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi huu hauwezi kwishaAma zake ,ama zangu kwa yeyote atakayethubutu kuendeleza huu uzi
kwisha utaisha ila utachukua muda sanaUzi huu hauwezi kwisha
sana kama kuna mtu atakubali kuwa wa mwishokwisha utaisha ila utachukua muda sana
Sana sana kuna mtu nataka kumchapa fimbo ila sijui nianzie wapi amenikera leokwisha utaisha ila utachukua muda sana
Leo Ni siku rasmi Simba SC anaanza kutafuna viporo bila kupashaSana sana kuna mtu nataka kumchapa fimbo ila sijui nianzie wapi amenikera leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupasha kiporo simba ni lazima arudi kwenye namba moja pale juuLeo Ni siku rasmi Simba SC anaanza kutafuna viporo bila kupasha
Sasa ni awamu ya sitaFirquni ni nani sasa?
Tamaa mbaya😂😂
Nyingine ni za kuchangiwaMbaya kama kula nauli nyingi
Kuchangiwa ili iwejeNyingine ni za kuchangiwa
Iweje? Ili ndugai akatibiwe akiliKuchangiwa ili iweje
Akili tena, loh ishakua taabuIweje? Ili ndugai akatibiwe akili
Taabu tupu mambo hayaelewekiAkili tena, loh ishakua taabu
Hayaeleweki ka kasheshe za Abunwasi na masela wakeTaabu tupu mambo hayaeleweki
Wake za watu wana siri nyingiHayaeleweki ka kasheshe za Abunwasi na masela wake
Nyingi kupita kiasi, moto wa kuotea mbali huwaWake za watu wana siri nyingi
Huwa wanaficha wasijulikaneNyingi kupita kiasi, moto wa kuotea mbali huwa
Zao la pamba linawatesa wakulimaWasijulikane na waume zao