Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Tumezoea kupenda na kutemwaMajanga katika nchi hii tumezoea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumezoea kupenda na kutemwaMajanga katika nchi hii tumezoea
Kutemwa ni kipindi kigumu kupitiaTumezoea kupenda na kutemwa
Kutemwa sio mwisho wa safari ya mapenziTumezoea kupenda na kutemwa
Mapenzi yana run duniaKutemwa sio mwisho wa safari ya mapenzi
Dunia inakwenda hovyo hovyoMapenzi yana run dunia
Hovyo ilivyo, tunapambana kama kawaidaDunia inakwenda hovyo hovyo
Kawaida ya siasa ni kudanganya wananchiHovyo ilivyo, tunapambana kama kawaida
Wananchi wanatakiwa kuwawajibisha viongozi wazembe kwenye sanduku la kuraKawaida ya siasa ni kudanganya wananchi
Kura ya maoni amaWananchi wanatakiwa kuwawajibisha viongozi wazembe kwenye sanduku la kura
Ama umpende au umchukie ila mama ndiye rais wa awamu ya sitaKura ya maoni ama
Sita au saba, achape kazi ionekane nje na ndaniAma umpende au umchukie ila mama ndiye rais wa awamu ya sita
Nalog off
Ndani ya nchi hii kuna waganga njaa wengi.Sita au saba, achape kazi ionekane nje na ndani
Wengi wapeNdani ya nchi hii kuna waganga njaa wengi.
Wape wakudharau...Wengi wape
Wakudharau, mabaya wakunenee, ata wakutenge, hakika Bwana yu nawe, futa machoziWape wakudharau...
Machozi yananitoka nikiona kikundi kidogo chá watu kinazingua watu wengiWakudharau, mabaya wakunenee, ata wakutenge, hakika Bwana yu nawe, futa machozi
Nalog off why? usikate tamaaMachozi yananitoka nikiona kikundi kidogo chá watu kinazingua watu wengi
Nalog off
Tamaa mbayaNalog off why usikate tamaa
Nalog off ni kukubali kushindwaTamaa mbaya
Nalog off
Kushindwa ndiko kutakutambulisha kuwa mshindaniNalog off ni kukubali kushindwa