Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Wengi wao huamini hivyo, ila sivyo. Ni uvivu wa kujitakia waoImani potofu wanazo masikini walio wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wao huamini hivyo, ila sivyo. Ni uvivu wa kujitakia waoImani potofu wanazo masikini walio wengi
Kazi ziendeleeWao wanataka kulala halafu wawe matajiri, wakati matajiri hwalali wanapiga kazi
Iendelee kwa motishaKazi ziendelee
Motisha kwa wachezaji wa yanga ni kazi bureIendelee kwa motisha
Motisha wap? Mie nafanya kazi mpaka muda wa ziada na sipewi hio motisha.unayoisemaIendelee kwa motisha
Bure kwa sababu hata magoli hswajui kufungaMotisha kwa wachezaji wa yanga ni kazi bure
Unayoisema wewe ni utumwaMotisha wap? Mie nafanya kazi mpaka muda wa ziada na sipewi hio motisha.unayoisema
Utumwa sio mzuri tuamke sasaUnayoisema wewe ni utumwa
Sasa unadhani nani amelalaUtumwa sio mzuri tuamke sasa
Amelala kutokana na ugumu,wa kazi ya janaSasa unadhani nani amelala
Jana ifanye iwe history nzuri kwa vizazi vya keshoAmelala kutokana na ugumu,wa kazi ya jana
Kesho unaenda kucheki ile misheJana ifanye iwe history nzuri kwa vizazi vya kesho
Mishe mishe zangu za mjini zimekwamaKesho unaenda kucheki ile mishe
Zimekwama wakati ndo unarudi saivMishe mishe zangu za mjini zimekwama
Saiv natengeneza hotchairZimekwama wakati ndo unarudi saiv
Hotchair ina madhara kwa afyaSaiv natengeneza hotchair
Afya nzuri bado ninayoHotchair ina madhara kwa afya
Ninayo mamlaka ya kuamuru ukamatweAfya nzuri bado ninayo
Ukamatwe wewe Bri'😂Ninayo mamlaka ya kuamuru ukamatwe