Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Sana sana huwekwa ingredients kibao anakuwa mtamu ajabKonokono namchukia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana sana huwekwa ingredients kibao anakuwa mtamu ajabKonokono namchukia sana
Ajabu ni pale anaposema ananipenda ,Sana sana huwekwa ingredients kibao anakuwa mtamu ajab
Ananisaliti kwa sababu ananiona boyaAjabu ni pale anaposema ananipenda ,
Nikitoka ananisaliti
Boya, la hasha, yeye ni pumba ka pumba zingineAnanisaliti kwa sababu ananiona boya
Boya sababu anapenda vitu vikubwa kuliko uwezo wakeAnanisaliti kwa sababu ananiona boya
Wake zake wote ni wajawazitoBoya sababu anapenda vitu vikubwa kuliko uwezo wake
Zingine ni kubwa na saizi tofautiBoya, la hasha, yeye ni pumba ka pumba zingine
Zingine ni nyeusi na zingine zina rangi mchanganyikoBoya, la hasha, yeye ni pumba ka pumba zingine
Wajawazito wengi hawapati Elimu sahihiWake zake wote ni wajawazito
Sahihi ya mwalimu inachekeshaWajawazito wengi hawapati Elimu sahihi
Mchanganyiko sio, nimejua leoZingine ni nyeusi na zingine zina rangi mchanganyiko
Leo ni siku ya muhimuMchanganyiko sio, nimejua leo
Muhimu kua na pesa ya akiba kabla hujaanza safariLeo ni siku ya muhimu
Safari ya mbali huanzwa kwa kupiga hatua moja mbeleMuhimu kua na pesa ya akiba kabla hujaanza safari
Mbele kidogo kuna kona kali pita kushotoSafari ya mbali huanzwa kwa kupiga hatua moja mbele
Kushoto ukute hakupitiki kwenye hiyo kona kaliMbele kidogo kuna kona kali pita kushoto
Kali graph anapiga hip hop swafiKushoto ukute hakupitiki kwenye hiyo kona kali
Swafi na murua, kimya sana leo WADAU wamepotelea wapi?Kali graph anapiga hip hop swafi
Huu ni usiku wa manane