Toosie Slide
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 788
- 955
Manane wa usiku ni huuHuu ni usiku wa manane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manane wa usiku ni huuHuu ni usiku wa manane
Huu ni mwongozo Kuwa una usingiziManane wa usiku ni huu
Usingizi ni sehemu ya maisha ya viumbe haiHuu ni mwongozo Kuwa una usingizi
Hai ni wilaya iliyopo mkoa wa kilimanjaroUsingizi ni sehemu ya maisha ya viumbe hai
Kilimanjaro ni mlima wenye barafuHai ni wilaya iliyopo mkoa wa kilimanjaro
Barafu huhitajika kuhifadhi bidhaa zinazoharibika kwa harakaKilimanjaro ni mlima wenye barafu
Haraka haraka haina BarakaBarafu huhitajika kuhifadhi bidhaa zinazoharibika kwa haraka
Haraka haraka haina barakaBarafu huhitajika kuhifadhi bidhaa zinazoharibika kwa haraka
Baraka za Muumba zikutangulie siku ya leoHaraka haraka haina Baraka
Leo mama nimekuona roho yangu kwatuuuuu jameniBaraka za Muumba zikutangulie siku ya leo
Baraka tutazipata tukiwa wapole na wachapa kaziHaraka haraka haina baraka
Baraka tutazipata tukiwa wapole na wachapa kazi
[emoji112]
Jameni ulipotelea wapiLeo mama nimekuona roho yangu kwatuuuuu jameni
Kazi ni bora kuliko kukaa bureBaraka tutazipata tukiwa wapole na wachapa kazi
👋
Bure, hakuna tena karne hiiKazi ni bora kuliko kukaa bure
Hii karne ya ya kula uliweBure, hakuna tena karne hii
Uliwe tena sana, ndio ufaidi kiasiHii karne ya ya kula uliwe
Kiasi cha pesa kinatosha kufanikisha safariUliwe tena sana, ndio ufaidi kiasi
Safari ya ughaibuni au hapa hapa nyumbani kwetuKiasi cha pesa kinatosha kufanikisha safari
Kwetu kuna mbuzi wenguSafari ya ughaibuni au hapa hapa nyumbani kwetu