Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Maisha yanafaida sana kwa binadamu aliye haiMakubwa hutokea mpaka watu kupoteza maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yanafaida sana kwa binadamu aliye haiMakubwa hutokea mpaka watu kupoteza maisha
Ni ni wilaya hapa nchiniMaisha yanafaida sana kwa binadamu aliye hai
Nchini kwetu kuna tatizo la upatikanaji wa mafuta ya kupikia/kulaNi ni wilaya hapa nchini
Kula mlo ambao haujakamilia ni chanzo cha maradhiNchini kwetu kuna tatizo la upatikanaji wa mafuta ya kupikia/kula
Maradhi kama kisukari na presha yanatutesa sana watu waneneKula mlo ambao haujakamilia ni chanzo cha maradhi
Wanene wanahitaji mazoeziMaradhi kama kisukari na presha yanatutesa sana watu wanene
Mazoezi yapi hayoWanene wanahitaji mazoezi
Hayo ya kuruka kichura na kukimbiaMazoezi yapi hayo
Kukimbia majukumu si njia Bora kwa MwanaumeHayo ya kuruka kichura na kukimbia
Mwanaume ni mtu muhimu sanaKukimbia majukumu si njia Bora kwa Mwanaume
SANA hasa kipindi hiki
Mtu muhimu sana ni yule anayewajali wengine bila kuwadharau
Kuwadharau watu sio tabia nzuri,binadamu wote ni sawa bila kujali hadhi wala rangiMtu muhimu sana ni yule anayewajali wengine bila kuwadharau
Nalog off
Rangi nyekundu ndio rangi bora kuliko zote duniani. Hata Simba wanavaa jezi za rangi hiyoKuwadharau watu sio tabia nzuri,binadamu wote ni sawa bila kujali hadhi wala rangi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo rangi unapenda ww,mie hapanaRangi nyekundu ndio rangi bora kuliko zote duniani. Hata Simba wanavaa jezi za rangi hiyo
Nalog off
Hapana hatuwezi kukubali hayo mabadiliko bila sababu za msingi
Msingi wa maendeleo kwa Taifa ni pamoja na mshikamanoHapana hatuwezi kukubali hayo mabadiliko bila sababu za msingi
Mshikamano ndiyo Dira ya uzalendoMsingi wa maendeleo kwa Taifa ni pamoja na mshikamano
Wananchi tufanye kazi, tuachane na siasaUzalendo cku izi umepotea coz wanajijali wao zaidi wakitusahau wananchi