Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Yote yote yatakwisha tuuMungu ni muweza wa yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote yote yatakwisha tuuMungu ni muweza wa yote
Tulio wengi tunapenda vya bureYote yote yatakwisha tuu
Vya bure ni gharama kiundaniTulio wengi tunapenda vya bure
Matamu sana, hasa ukizungukwa na watu wenye upendoKiundani maisha ni matamu
Upendo ni nguzo kubwa sana maishaniMatamu sana, hasa ukizungukwa na watu wenye upendo
Maishani mwangu sijawah kula tunda ki masiharaUpendo ni nguzo kubwa sana maishani
Masihara masihara hutumbuka usahaMaishani mwangu sijawah kula tunda ki masihara
Usaha wa kidonda au usaha wa jipu?Masihara masihara hutumbuka usaha
Usaha wa kidonda au usaha wa jipu?
Jipu la kwenye unyayo
kutembea ni bora kuliko kukimbiaUnyayo ukipata jipu ni hatari maana huwezi kutembea
Kukimbia kunasaidia kufika mapemakutembea ni bora kuliko kukimbia
Mapema yote unawai wapKukimbia kunasaidia kufika mapema
Wapi? Inamaana hujui kuwa nawahi kwakoMapema yote unawai wap
kwako ww unaishi wapiWapi? Inamaana hujui kuwa nawahi kwako
Wapi kivipi? Inamaana umesahau kuwa naishi Nanjilinjikwako ww unaishi wapi
Nanjilinji mimi sipajui nielekezeWapi kivipi? Inamaana umesahau kuwa naishi Nanjilinji
Nielekeze njia ya kukufikisha kileleni