Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Ladha siku zote huwa katikati.Utiwa chumvi na pilipili ndio iwe na ladha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ladha siku zote huwa katikati.Utiwa chumvi na pilipili ndio iwe na ladha
Katikati ya dhoruba kali, tulipata tumaini jipyaLadha siku zote huwa katikati.
Katikati ya mapaja kuna kipochi manyoyaLadha siku zote huwa katikati.
Manyoya siyapendi yananikataga stimuKatikati ya mapaja kuna kipochi manyoya
Stimu yako na yake ziwe sawaManyoya siyapendi yananikataga stimu
Sawa, sawa na mapenzi ya watanzania wanataka kuona, hali ya uchumi unakua vizuri mtaaniStimu yako na yake ziwe sawa
Mtaani bado kuguma tuwe na subiraSawa, sawa na mapenzi ya watanzia kuona hali ya uchumi unakua vizuri mtaani
Subira ni binti niliyekua nakaa nae ila alikua mkaidi sana, salamu zimfikie hukoMtaani bado kuguma tuwe na subira
Huko ni mbali sanaSubira ni binti niliyekua nakaa nae ila alikua mkaidi sana, salamu zimfikie huko
Sana kwani unapajua nduguHuko ni mbali sana
Sana lakin si mna wasilianaHuko ni mbali sana
Wasiliana huduma kwa wateja ni bure kabisaSana lakin si mna wasiliana
Kabisa yaan ndugu mteja simu yako ni muhimu kwetu tafadhar subir wahudumu wetu wanawahudumia wateja wengine.Wasiliana huduma kwa wateja ni bure kabisa
Wengine wanabore sana kama ukikosea kutuma pesa arafu uwapigie mtandao X utachanganikiwaKabisa yaan ndugu mteja simu yako ni muhimu kwetu tafadhar subir wahudumu wetu wanawahudumia wateja wengine.
Utachanganyikiwa kabisa huku ukiwa na mashaka juu ya pesa yakoWengine wanabore sana kama ukikosea kutuma pesa arafu uwapigie mtandao X utachanganikiwa
Pesa yako itakufanya kuwa mtumwaUtachanganyikiwa kabisa huku ukiwa na mashaka juu ya pesa yako
Mtumwa hana budi kufuatiliza amri za mkuu wakePesa yako itakufanya kuwa mtumwa
Mtumwa katumwa halafu akagoma.Pesa yako itakufanya kuwa mtumwa
Akagoma ikabidi nimfuate hakukuepo njia nyingneMtumwa katumwa halafu akagoma.
Nyingine ilikuwepo ni kumpunguzia mshahara wakeAkagoma ikabidi nimfuate hakukuepo njia nyingne