Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Huu uzi kuna watu siwaoni sijui wako wapiSimjui lakini namuonaga akikatiza Uzi huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi kuna watu siwaoni sijui wako wapiSimjui lakini namuonaga akikatiza Uzi huu
Wapi huko walikojifanyia maficho?Huu uzi kuna watu siwaoni sijui wako wapi
Maficho yao hayaelewekiWapi huko walikojifanyia maficho?
Maficho yao hayaeleweki
Kuanzia leo tusijuaneHayaeleweki maficho yao kwasababu hatujui pa kuanzia
Tusijuaje vipi wakati sisi sote ni nduguKuanzia leo tusijuane
Ndugu ni wale wa damu
Damu ya yesu iliyomwagika msalabaniNdugu ni wale wa damu
Msalabani walining'inizwa mpaka weziDamu ya yesu iliyomwagika msalabani
Wezi sio watu wazuriMsalabani walining'inizwa mpaka wezi
Wazuri ni wale wenye misambwandaWezi sio watu wazuri
Misambwanda iko Tanga aiiisee hutamani kuondokaWazuri ni wale wenye misambwanda
Upo kwenye ushindani wa taji la uzi huuKuondoka buka kuaga ndio hulka yao Abrianna mama kumbe upo
Huu Uzi makini sana na umetulia, ni mwendo wa kutiririka.Upo kwenye ushindani wa taji la uzi huu
Zamiluni Zamiluni kwenye libeneke hili hapa yupo kitamboHuu Uzi makini sana na umetulia, ni mwendo wa kutiririka.
Tumsubiri mzee wa busara amalize kufunga Ramadhani arudi kuendeleza libeneke, mzee wa busara kwa jina lingine Zamiluni Zamiluni
Kitambo, na nammiss sana kwenye huu uziZamiluni Zamiluni kwenye libeneke hili hapa yupo kitambo
Uzi usio na mwishoKitambo, na nammiss sana kwenye huu uzi
Mwisho wake haupo alizaliwa Babu paka mjukuu atautumiaUzi usio na mwisho
atautumia na kuuachaMwisho wake haupo alizaliwa Babu paka mjukuu atautumia