Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Peponi tenaMkapa apumzike mahala pema peponi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peponi tenaMkapa apumzike mahala pema peponi
Tena na tena aminaPeponi tena
amina bado hajaacha ukichecheTena na tena amina
Ukicheche ni muhimu hasa ukiwa kijanaamina bado hajaacha ukicheche
kijana kama kijana unatakiwa ujitume sanaUkicheche ni muhimu hasa ukiwa kijana
Sana tena sana maana Maisha bila kujituma huwezi kupiga hatuakijana kama kijana unatakiwa ujitume sana
Hatua zemyewe zinabakwa na wanasiasa!Sana tena sana maana Maisha bila kujituma huwezi kupiga hatua
Wanasiasa wanajaza matumboHatua zemyewe zinabakwa na wanasiasa!
Matumbo yaliyoshiba hayamkumbuki mwenye njaaWanasiasa wanajaza matumbo
Njaa haina baunsaMatumbo yaliyoshiba hayamkumbuki mwenye njaa
Baunsa anafanya mazoeziNjaa haina baunsa
Mazoezi ya viungoBaunsa anafanya mazoezi
Viungo vya pilauMazoezi ya viungo
Pilau la kikubwa ndio tamuViungo vya pilau
Tamu lakini halizidi Pilau la SikukuuPilau la kikubwa ndio tamu
Nalog off
Sikukuu ya wakulima huwa ni sikukuu ya nanenaneTamu lakini halizidi Pilau la Sikukuu
Nanenane ya mwaka huu haitakua na amsha amsha kama ya mwaka juziSikukuu ya wakulima huwa ni sikukuu ya nanenane
Juzi tu mwendazake amefukiwa na kashasahaulikaNanenane ya mwaka huu haitakua na amsha amsha kama ya mwaka juzi
Kashasahaulika kutokana na maovu yakeJuzi tu mwendazake amefukiwa na kashasahaulika
Yake maouvu yalikithiriKashasahaulika kutokana na maovu yake