mgosani
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,005
- 1,136
Utibiwe la sivyo harufu ya viungo huisiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utibiwe la sivyo harufu ya viungo huisiki
Huisikii Kwasababu washabiki wa Yanga wana keleleUtibiwe la sivyo harufu ya viungo huisiki
Off na On zote zinasababisha simba kafungwa 4Huisikii Kwasababu washabiki wa Yanga wana kelele
Nalog off
4 safi kwa chukuchukuOff na On zote zinasababisha simba kafungwa 4
Chukuchuku asubuhi hii??4 safi kwa chukuchuku
Sanasana unachoweza kufanya ni kuachana na hiyo tabia
Hiyo tabia yako itakuponza.Sanasana unachoweza kufanya ni kuachana na hiyo tabia
Itakupinza kwasababu sio nzuriHiyo tabia yako itakuponza.
Nzuri sana hiyo nguo
Nguo ya kuazima haisitiriNzuri sana hiyo nguo
Nini kufanyike ile tuweze kumiliki wanaume zetuWanaume pia hawaeleweki wanataka nini
Zetu sala ni kuwaombea hawa viumbe wanaohangaika nje ya ndoaNini kufanyike ile tuweze kumiliki wanaume zetu
Tu, to na two zote zinatamkwa sawaNdoa zenyewe zimekua ngumu acha nao wafaidi tu
Sawa lakini hujatimiza ahadiTu, to na two zote zinatamkwa sawa
Ahadi zenu zinawalakini sijui mna mihemko??Sawa lakini hujatimiza ahadi
Ahadi kuu ni upendoSawa lakini hujatimiza ahadi
Upendo dhati au upendo masilahi.??Ahadi kuu ni upendo
Maslahi ya umma hayazingatiwiUpendo dhati au upendo masilahi.??