Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Hayazingatiwi maandiko ya Mola hee itakuwa sisi wanyonge!!Maslahi ya umma hayazingatiwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayazingatiwi maandiko ya Mola hee itakuwa sisi wanyonge!!Maslahi ya umma hayazingatiwi
Wanyonge tumekuwa wengi na haki zetu hatupewi ila hela ya kuloga tunayoHayazingatiwi maandiko ya Mola hee itakuwa sisi wanyonge!!
Tunayo mahitaji ya msingi kama walezi wa familia kiujumlaWanyonge tumekuwa wengi na haki zetu hatupewi ila hela ya kuloga tunayo
Kiujumla hali ya Sasa ya uchumi kwa mtu mmoja mmoja ni mbayaTunayo mahitaji ya msingi kama walezi wa familia kiujumla
Mbaya zaidi bado wenye nacho wanazidi kuongezewaKiujumla hali ya Sasa ya uchumi kwa mtu mmoja mmoja ni mbaya
Kuongezewa anaongezewa mwenye nachoMbaya zaidi bado wenye nacho wanazidi kuongezewa
Mwenyenacho ndio anafurahia maisha
Maisha ndivo yalivo hakuna kitu kipyaMwenyenacho ndio anafurahia maisha
Yaleyale yaliyojiri kwa SIMBA SC ndio tutarajie kuyaona kesho kwa mkapa!Jipya hakuna yote ni yaleyale
Mkapa alikuwa rais wa awamu ya tatuYaleyale yaliyojiri kwa SIMBA SC ndio tutarajie kuyaona kesho kwa mkapa!
Nairobi sipapendi kuna vuruguMatatu ni usafiri maarufu pale Nairobi.
Tatu bila mmepigwa na YangaMkapa alikuwa rais wa awamu ya tatu
Nalog off
Yanga ina HISTORIA ya kusikitisha...Tatu bila mmepigwa na Yanga
Kusikitisha Sana na inalazimisha ushindiYanga ina HISTORIA ya kusikitisha...
Ushindi haulazimishwi
Haulazimishwi kuolewa na mimi japo unanipenda...Ushindi haulazimishwi
Unanipenda kwa sababu huna namnaHaulazimishwi kuolewa na mimi japo unanipenda...