Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Namna gani tena Swahibaty vigezo vimetimia..Unanipenda kwa sababu huna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna gani tena Swahibaty vigezo vimetimia..Unanipenda kwa sababu huna namna
Vimetimia lakini havikubalikiNamna gani tena Swahibaty vigezo vimetimia..
Havikubaliki kinyumbani ila nitakata rufaaVimetimia lakini havikubaliki
Rufaa ya washitakiwa hatimaye imepitaHavikubaliki kinyumbani ila nitakata rufaa
Imepita kwa upendo wako uliotukukaRufaa ya washitakiwa hatimaye imepita
Uliotukuka upendo ni wa Mungu pekeeImepita kwa upendo wako uliotukuka
Mungu Pekee ajua nilipo tundika moyo juu ya......Uliotukuka upendo ni wa Mungu pekee
Ya maweMungu Pekee ajua nilipo tundika moyo juu ya......
Mawe niliyonayo ni dhahabu na almasiYa mawe
Almasi ina thamani kubwaMawe niliyonayo ni dhahabu na almasi
Kubwa ni usiku mwingi. Nakuaga good night.Almasi ina thamani kubwa
Night, have a good oneKubwa ni usiku mwingi. Nakuaga good night.
One ndio nini? Mimi mswahili sijui ngeli.Night, have a good one
Ngeli ins wasifu kadhaa jee nikutajie Moja wapo?One ndio nini? Mimi mswahili sijui ngeli.
Wapo watu wasiopenda maendeleo ya wenzaoNgeli ins wasifu kadhaa jee nikutajie Moja wapo?
Wenzao walikamatwa kisa kumfurahisha mtu fudengeWapo watu wasiopenda maendeleo ya wenzao
Fudenge msamiati huu, dadavua KiongoziWenzao walikamatwa kisa kumfurahisha mtu fudenge
Nalog off
Kiongozi bora ni yule asiyekua na tamaa ya madarakaFudenge msamiati huu, dadavua Kiongozi
Madaraka yanawafanya watu wasahau utu wao kwasababu ya uchuKiongozi bora ni yule asiyekua na tamaa ya madaraka
Uchu wa madaraka ulimponza fudenge (fulani) mpaka akawa anaua wapinzani WakeMadaraka yanawafanya watu wasahau utu wao kwasababu ya uchu
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app