Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Kunaanza onekana mwangaza wa jua ktk mustakabalilukuki kwa fujooo.....ila sasa walau tunaona mabadiliko, kuna kuheshimiana kunaanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunaanza onekana mwangaza wa jua ktk mustakabalilukuki kwa fujooo.....ila sasa walau tunaona mabadiliko, kuna kuheshimiana kunaanza.
Mustakabali wa nchi upo mikononi mwa wananchiKunaanza onekana mwangaza wa jua ktk mustakabali
Wananchi Siku zote wanaipenda bendera !!Mustakabali wa nchi upo mikononi mwa wananchi
Bendera hufuata upepoWananchi Siku zote wanaipenda bendera !!
Upepo mwanana, unapatikana beach, twende zetu tukabarizi!Bendera hufuata upepo
Upepo ni mkali bahariniBendera hufuata upepo
Baharini kuna mchanga mwingiUpepo ni mkali baharini
Upepo wako Abrianna hupuliza kwangu bila pazia...Bendera hufuata upepo
Standard zile za Dubai zenye nakishi na ubora nyuzi...Pazia za kariakoo ni hazina standard
Nyuzi za JF zina vihojaStandard zile za Dubai zenye nakishi na ubora nyuzi...
Vihoja vya wasomi ni faida kwa mbumbumbu..Nyuzi za JF zina vihoja
Mbumbumbu ni hasara kwa jamiiVihoja vya wasomi ni faida kwa mbumbumbu..
Jamii ina kusuta kwakuwa wewe ni mmoja waoMbumbumbu ni hasara kwa jamii
Wao wanasemajeJamii ina kusuta kwakuwa wewe ni mmoja wao
Wanasemaje kuhusu chanjo ya Covid19!!
Covid19 imesumbua sanaWanasemaje kuhusu chanjo ya Covid19!!
Sana sana tutaambiwa pole.. poleni kwa msiba
Msiba ni kwa wote kila mtu humfikaSana sana tutaambiwa pole.. poleni kwa msiba
Humfika kila mtu ila tuamini sio sisi nawote tuseme aimeen!