captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 585
- 1,185
Siasa ni mchezo mchafu.Wazuri ni wale wanaoteka watu, kuwatesa, kuwapa vilema vya maisha au hata kuwaua huku wakiacha watoto wao yatima kisa tu ni siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa ni mchezo mchafu.Wazuri ni wale wanaoteka watu, kuwatesa, kuwapa vilema vya maisha au hata kuwaua huku wakiacha watoto wao yatima kisa tu ni siasa
Karaha inaletwa na waoMchafu kaoge basi mwili inatoa HARUFU yenye karaha..
Hawajitambui kwa Sababu wametengwa
Wametengwa kwa tabia zao chafuHawajitambui kwa Sababu wametengwa
Chafua chafua za mabeki wa Kaiser SC imwaletea ushindiWametengwa kwa tabia zao chafu
Ushindi mzur ukisindikizwa na pesaChafua chafua za mabeki wa Kaiser SC imwaletea ushindi
Ushindi wa simba ni wakiahujaa ila wameonesha kukosa umakiniChafua chafua za mabeki wa Kaiser SC imwaletea ushindi
Umakini upi tulizo nazo hapa hadi tuweze kamilisha Jambo????Ushindi wa simba ni wakiahujaa ila wameonesha kukosa umakini
Jambo kenyew litazua mjadala, tuache tu kama vipi tuendelee kula bataUmakini upi tulizo nazo hapa hadi tuweze kamilisha Jambo????
Bata mnene alojazia mchague wewe mie ntalipa.Jambo kenyew litazua mjadala, tuache tu kama vipi tuendelee kula bata
Nitalipa mpaka goals za KCFC zote kwakoBata mnene alojazia mchague wewe mie ntalipa.
Wote sisi ni ndugu haijalishi rangi,imani,kabila muhimu damu zetu ni nyekundu sawiya (Sawia) !!!Ntalipa endapo utamla na kummaliza wote
Sawia haswaa, haifai kubaguana wala kunyanyapaana eti kwasababu tu ya Imani zetu, tofauti zetu za kisiasa, Makabila yetu, na mengine mengi sana, bila kusahau kipatoWote sisi ni ndugu haijalishi rangi,imani,kabila muhimu damu zetu ni nyekundu sawiya (Sawia) !!!
Kipato kinakuja baada ya kuvuja jashoSawia haswaa, haifai kubaguana wala kunyanyapaana eti kwasababu tu ya Imani zetu, tofauti zetu za kisiasa, Makabila yetu, na mengine mengi sana, bila kusahau kipato
Jasho la mtu haliliwiKipato kinakuja baada ya kuvuja jasho
Haliliwi nani kasemaJasho la mtu haliliwi
Kasema mmoja wa kiongoziHaliliwi nani kasema