Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Kiongozi mmojawapo wa serikali anapenda rushwaKasema mmoja wa kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi mmojawapo wa serikali anapenda rushwaKasema mmoja wa kiongozi
Rushwa ni adui wa hakiKiongozi mmojawapo wa serikali anapenda rushwa
Haki bila wajibu ni kazi bure
Bure maana yake haina malipoHaki bila wajibu ni kazi bure
Malipo huwezi kupata bila kufanya kazi
Kufanya kazi ni lazima Ili mkono uende kinywaniMalipo huwezi kupata bila kufanya kazi
Kinywani panatakiwa kuwa pasafi muda wote
Wote walikuemo ila walishindwa kupindua mezaKinywani panatakiwa kuwa pasafi muda wote
Meza dawa yake ni kuivunja na sio kuipindua..Wote walikuemo ila walishindwa kupindua meza
Kuipindua sana sana utamwaga vinywajiMeza dawa yake ni kuivunja na sio kuipindua..
Vinywaji vya watu utamwaga mwishowe upigwe..Kuipindua sana sana utamwaga vinywaji
Upigwe kwa kosa lipi wakati upo barVinywaji vya watu utamwaga mwishowe upigwe..
Bar ya city centre igoma mwanza ni nzuri sana kuwa na maiginzo mapyaUpigwe kwa kosa lipi wakati upo bar
Kwanza tuyape nafasi hayo mambo mapya kwa wateja..Mapya tunayaficha ili wateja wamalizie kununua ya zamani kwanza
Wateja tafrani nyie mnasubiria ofa au wapambe !!Kwanza tuyape nafasi hayo mambo mapya kwa wateja..
Wateja tunawaambia hatujaleta mzigo mpya kumbe upo stoo, wananunua mbonaKwanza tuyape nafasi hayo mambo mapya kwa wateja..
Wapambe nuksiWateja tafrani nyie mnasubiria ofa au wapambe !!
Mbona basi huniambii huo mzigo uliopo stoo, nidokezee kdg nipate kuufahamu..Wateja tunawaambia hatujaleta mzigo mpya kumbe upo stoo, wananunua mbona
Mbona wewe mahondaw ni mzuri sana?Wateja tunawaambia hatujaleta mzigo mpya kumbe upo stoo, wananunua mbona