Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Majungu ni hulka za kishetwani usiendekeze !!Fitina huambatana na majungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majungu ni hulka za kishetwani usiendekeze !!Fitina huambatana na majungu
Usiendekeze ngono zembe ukimwi upoMajungu ni hulka za kishetwani usiendekeze !!
Upo sana tena haufichikiUsiendekeze ngono zembe ukimwi upo
Haufichiki kwasababu ni wa ummaUpo sana tena haufichiki
Haufichiki uzembe na upuuzi wa wahujumu uchumi !!Upo sana tena haufichiki
Uchumi wetu ulivurugwa na yule ngosha wa kujaHaufichiki uzembe na upuuzi wa wahujumu uchumi !!
Kuja kwa wema utalipwa memaUchumi wetu ulivurugwa na yule ngosha wa kuja
Mema ya nchi hii yanaliwa na wachache wengi tunaumiaKuja kwa wema utalipwa mema
Tunaumia kwanini.Mema ya nchi hii yanaliwa na wachache wengi tunaumia
Kwanini kizazi kipya kinachuki na husda?Tunaumia kwanini.
Husda na roho mbaya haijengi nduguKwanini kizazi kipya kinachuki na husda?
Ndugu zangu ni pamoja na wote mlio kwenye huu uzi..Husda na roho mbaya haijengi ndugu
Uzi huu kiboko haukatikiNdugu zangu ni pamoja na wote mlio kwenye huu uzi..
Haukatiki leo wa kesho bado upo sana..Uzi huu kiboko haukatiki
[emoji109][emoji106]
Sana tuu kwani una muda wa miaka mingapi mpaka leoHaukatiki leo wa kesho bado upo sana..
Leo mpaka kufikia hivi sasa ni Miaka minane, na Miezi kumi na mojaSana tuu kwani una muda wa miaka mingapi mpaka leo
Moja kwa moja mpaka elfuLeo mpaka kufikia hivi sasa ni Miaka minane, na Miezi kumi na moja
Elfu tatu miaka na kuendelea huko watakuja kuukuta...Moja kwa moja mpaka elfu
Kuukuta wajukuu na vitukuuElfu tatu miaka na kuendelea huko watakuja kuukuta...
Vitukuu vyangu lazima huu uzi vije viuendeleze.Kuukuta wajukuu na vitukuu