Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Kama wale hatuwezi kuiga wao tamaduniUlimwenguni kote sijui ka kuna jamii wanatumia species na ingredients nyingi kwa kupikia vyakula kama wale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wale hatuwezi kuiga wao tamaduniUlimwenguni kote sijui ka kuna jamii wanatumia species na ingredients nyingi kwa kupikia vyakula kama wale
Tamaduni zetu zina mvuto kivyake, mix ya kila kituKama wale hatuwezi kuiga wao tamaduni
Kitu poa kabisa hiki tena cha kienyejiTamaduni zetu zina mvuto kivyake, mix ya kila kitu
Kienyeji watamu aiseeKitu poa kabisa hiki tena cha kienyeji
Aisaee Kienyeji kwa sasa kumeshapitwa na wakati...Kitu poa kabisa hiki tena cha kienyeji
Wakati mzuri wa kula chakula cha usiku ni saa ngapi?Aisaee Kienyeji kwa sasa kumeshapitwa na wakati...
Saa ngapi pale jua lunapozama majira ya saa Moja magharibiWakati mzuri wa kula chakula cha usiku ni saa ngapi?
Magharibi ni sehemu ya pande kuu nne za duniaSaa ngapi pale jua lunapozama majira ya saa Moja magharibi
Dunia hii ni sehemu ya kupita, tutende mema na tupendaneMagharibi ni sehemu ya pande kuu nne za dunia
Tupendane kwa moyo mmoja kabisaDunia hii ni sehemu ya kupita, tutende mema na tupendane
Kabisa maana kuishi ni mara mojaTupendane kwa moyo mmoja kabisa
Kwema mkuu
Mara moja moja siyo mbayaKabisa maana kuishi ni mara moja
Mbaya buana mi sijaipendaMara moja moja siyo mbaya
Sijaipenda hii tabia jiraniMbaya buana mi sijaipenda
Jirani nyama ya hamuSijaipenda hii tabia jirani
Hamu hii hii au kuna nyingineJirani nyama ya hamu
Nyingine ipi tena jirani?? [emoji3]Hamu hii hii au kuna nyingine
Nyingine ipi tena jirani?? [emoji3]
Kwema tu mkuu familia haijambo?Jirani kwema!!!!?
haijambo maskani yote, tupo tunakula mema ya nchi.Kwema tu mkuu familia haijambo?