mgosani
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,005
- 1,136
Kuruka ruka kwako sio dawa ya UlimboHutokeza katika vichuguu na kuruka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuruka ruka kwako sio dawa ya UlimboHutokeza katika vichuguu na kuruka
Ulimbo nimesahau jinsi ya kuugemaKuruka ruka kwako sio dawa ya Ulimbo
Kuugema ulimbo ni kazi rahisi sana..Ulimbo nimesahau jinsi ya kuugema
Nalog off
Sana hasa ulimbo wa mfenesiKuugema ulimbo ni kazi rahisi sana..
Mfenesi matunda yake ni mazuri sanaSana hasa ulimbo wa mfenesi
[emoji109]
Sana, ila ulimbo wake sijawahi kutegea ndege.
Ndege anategwa na ulimbo kirahisiSana, ila ulimbo wake sijawahi kutegea ndege.
Kirahisi rahis tu
Kirahisi rahisi tu kwasababu ulimbo unapotegwa hauonekaniKirahisi rahis tu
Hauonekani kisha unaweka na chamboKirahisi rahisi tu kwasababu ulimbo unapotegwa hauonekani
Chambo hicho humvutia ndege mwishowe hunaswaHauonekani kisha unaweka na chambo
Uzembe ukichanganyika na tamaaHunswa mtegoni kwa sababu ya uzembe
Tamaa huzaa mautiUzembe ukichanganyika na tamaa
Mauti humfika kila mwanadamu, ni suala la wakati tuTamaa huzaa mauti
Wakati tu ndio huamua hatima ya mwanadamuMauti humfika kila mwanadamu, ni suala la wakati tu
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Mwanadamu ni kiumbe Chenye kusahauWakati tu ndio huamua hatima ya mwanadamu
Nalog off
Kusahau ni jambo jema sana kwa mwanadamu ili maisha yaendeleeMwanadamu ni kiumbe Chenye kusahau
Yaendeleee wapiii wakatiii pesaa haipatikanii!?Kusahau ni jambo jema sana kwa mwanadamu ili maisha yaendelee
Nalog off
Haipatikani kwa kuwa wenye nazo wamezifichaYaendeleee wapiii wakatiii pesaa haipatikanii!?