T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Sumu ya mapenziWake za watu siku zote ni wazuri ila kumbuka cha mtu ni sumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sumu ya mapenziWake za watu siku zote ni wazuri ila kumbuka cha mtu ni sumu
Sumu ya mapenzi
Mwenyewe nimepigwa butwa!Mapenzi ni Mabaya sana pale unapojikuta upo mwenyewe
Mwenyewe nimepigwa butwa!
Uchi wa mnyamaButwa! Wote walijikutwa wapo uchi
Simba ni klabu bora nchini [emoji1241]Mnyama ni simba
Nchini kunawaka motoSimba ni klabu bora nchini [emoji1241]
"Moto, moto huo ", nilisikia kele hizo kabla ya kuona gari la fireNchini kunawaka moto
Fire hawakufika kwa muda"Moto, moto huo ", nilisikia kele hizo kabla ya kuona gari la fire
Muda huu nipo kitandaniFire hawakufika kwa muda
Kitandani uzime simu ulale, kesho nayo ni sikuMuda huu nipo kitandani
Siku ya kuzaliwaKitandani uzime simu ulale, kesho nayo ni siku
Siku kama hizi, niko nawe mpenziKitandani uzime simu ulale, kesho nayo ni siku
TID hana mpya siku hiziSiku kama hizi, niko nawe mpenzi
Song by t.i.d
Hizi nazozijua au?TID hana mpya siku hizi
Kuzaliwa kwake kumeleta farajaSiku ya kuzaliwa
Au unataka kubishaHizi nazozijua au?
Kubisha siwezi mana nimekuelewaAu unataka kubisha
Kubisha kote huko kumbe hajui kituAu unataka kubisha