HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Wivu ndio chanzo cha yote mabayaWachawi ni viumbe wazito wenye roho mbaya na wivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu ndio chanzo cha yote mabayaWachawi ni viumbe wazito wenye roho mbaya na wivu
Mabaya ni vyema tukaachanayo..Wivu ndio chanzo cha yote mabaya
tukaachana nayo wakati ndio yanayoleta furahaMabaya ni vyema tukaachanayo..
Furaha ndo kitu ambacho
Ambacho niponacho kila utakaponionaFuraha ndo kitu ambacho
Utakaponiona naomba uniguse begaAmbacho niponacho kila utakaponiona
Bega kwa bega tujenge taifa letu hata kwa makato ya kodi....
Kodi!!! Kodi hizi za kunyonywa tu wanyongeBega kwa bega tujenge taifa letu hata kwa makato ya kodi....
Wanyonge wanyongeni lakini haki zao wapeni..Kodi!!! Kodi hizi za kunyonywa tu wanyonge
Wapeni salaam.. huu msemo naukubaliWanyonge wanyongeni lakini haki zao wapeni..
Naukubali sana misemo kwakuwa wapendanao huutumia !!Wapeni salaam.. huu msemo naukubali
Huutumia!!? Wewe hujui kitu kuhusu tozo.Naukubali sana misemo kwakuwa wapendanao huutumia !!
Tuzo halikwepeki japo ni geni kwa wTZ tutalibeba tutake tusitake...Huutumia!!? Wewe hujui kitu kuhusu tozo.
Tusitake kuzinguana bana Tuanndamane tuu, wataelewa.Tuzo halikwepeki japo ni geni kwa wTZ tutalibeba tutake tusitake...
Wataelewa kama nchi nzima ikiingia barabaraniTusitake kuzinguana bana Tuanndamane tuu, wataelewa.
Barabarani mtapigwa sana mkithubutu kuandamanaWataelewa kama nchi nzima ikiingia barabarani
Kuansamanai ni ngumu watu wanaogopa kipigo cha mbwa kokoBarabarani mtapigwa sana mkithubutu kuandamana
Koko bichi ndo palikiwa na sherehe ya mihogo.Kuansamanai ni ngumu watu wanaogopa kipigo cha mbwa koko
Mihogo na karanga mbichi ni chakula cha wanaumeKoko bichi ndo palikiwa na sherehe ya mihogo.
Wanaume wa mkoani wanakula mahindiMihogo na karanga mbichi ni chakula cha wanaume