Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Sehemu utakayoenda usiache kuniita
Kuniita mnyonge ni kunikosea sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu utakayoenda usiache kuniita
Sana bora akuite mpambanajiKuniita mnyonge ni kunikosea sana
Sana bora akuite mpambanaji
Dili ni kukomaa nao mpka kielewekeMpambanaji huitwa gaidi akitofautiana na wapiga dili
Dili ni kukomaa nao mpka kieleweke
Bunduki mapanga na mikuki kisha woote tusonge mbeleKieleweke hata kwa kushika bunduki
Bunduki mapanga na mikuki kisha woote tusonge mbele
Mwiko wa kusongea ugaliMbele daima nyuma mwiko
Ukimwaga ugali tunamwaga mboga na kachumbari...Mwiko wa kusongea ugali
Kachumbari imejaa pilipiliUkimwaga ugali tunamwaga mboga na kachumbari...
Pilipili kuliwa mbichimbuchi inakuwa TIBA ya magonjwa kadha ...Kachumbari imejaa pilipili
Magonjwa kadha wa kadha yaliongelewa ile sikuPilipili kuliwa mbichimbuchi inakuwa TIBA ya magonjwa kadha ...
Ile siku Magufuli aliyotutoka kwa kweli nilijiona kama nimepungukiwa na moja ya kiungo changu MwiliniMagonjwa kadha wa kadha yaliongelewa ile siku
Mwilini mwangu kumeota vipeleIle siku Magufuli aliyotutoka kwa kweli nilijiona kama nimepungukiwa na moja ya kiungo changu Mwilini
Vipele humuota asiye na kucha.Mwilini mwangu kumeota vipele
Kucha ndefu hutunza uchafuVipele humuota asiye na kucha.
Uchafu huleta maradhi.Kucha ndefu hutunza uchafu
Maradhi yamekuwa mengi miaka hiiUchafu huleta maradhi.
Maradhi hudhoofisha mwiliUchafu huleta maradhi.
Mwili haujengwi kwa matofaliMaradhi hudhoofisha mwili