Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Tosha sasa haya matozo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
48 bilioni zitatumika kujenga chama na kuwapa marupurupu wale wasiolipa kodiMatozo yamekusanya kipato cha maana 48 bilioni
Kodi ndiyo msingi wa uchumi ..48 bilioni zitatumika kujenga chama na kuwapa marupurupu wale wasiolipa kodi
Nalog off
Uchumi umeyumba sababu ya hizo kodi na tozoKodi ndiyo msingi wa uchumi ..
Tozo haijalishi unazo au hunazo makato yake ni wajibu wa kila raia kuchangia...Uchumi umeyumba sababu ya hizo kodi na tozo
Kuchangia haya matozo hakutuhusu sisi UVCCMTozo haijalishi unazo au hunazo makato yake ni wajibu wa kila raia kuchangia...
UVCCM kirefu chake ni Umoja wa Vijana wa CCMKuchangia haya matozo hakutuhusu sisi UVCCM
CCM wanataka kutuchuna ngozi mwaka huu,UVCCM kirefu chake ni Umoja wa Vijana wa CCM
Mwaka huu tutayaona mengi.CCM wanataka kutuchuna ngozi mwaka huu,
Mengi alifariki mwaka juziMwaka huu tutayaona mengi.
Juzi ndo walianza kunikata hio tozo niliponunua umeme.Mengi alifariki mwaka juzi
Umeme wenyewe unakatika hovyooJuzi ndo walianza kunikata hio tozo niliponunua umeme.
Umeme wetu wa bwawani tutaanza kufaidi...Juzi ndo walianza kunikata hio tozo niliponunua umeme.
Hovyo iliyoletwa ns mitamboUmeme wenyewe unakatika hovyoo
Mitambo yenyewe imekwisha muda wa matumizi.Hovyo iliyoletwa ns mitambo
Matumizi ya Gesi yatanufaisha mahitajiMitambo yenyewe imekwisha muda wa matumizi.
Wasiolipa Kodi wanajiona wafalme kunyanyasa wananchi48 bilioni zitatumika kujenga chama na kuwapa marupurupu wale wasiolipa kodi
Nalog off
Wananchi wamekaa kimya wakati hawajaridhika na yanayoendeleaWasiolipa Kodi wanajiona wafalme kunyanyasa wananchi
Yanayoendelea ni mipango na taratibu hadidu za kisasa...Wananchi wamekaa kimya wakati hawajaridhika na yanayoendelea
Siasa ni mchezo wa kihuniYanayoendelea ni mipango na taratibu hadidu za kisasa...