Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Kihuni huni ni kwa wale wasiyo na elimuSiasa ni mchezo wa kihuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kihuni huni ni kwa wale wasiyo na elimuSiasa ni mchezo wa kihuni
Elimu ya wasomi wengi inatia mashakaKihuni huni ni kwa wale wasiyo na elimu
Mashaka sana kwa walimu na wahitimu piaElimu ya wasomi wengi inatia mashaka
Mashaka na kizaza husababisha kinga ya mwili kushuka...Elimu ya wasomi wengi inatia mashaka
Kushuka kwa mapato ya serikali ni janga kubwaMashaka na kizaza husababisha kinga ya mwili kushuka...
Kubwa lao ni yule mbogo katikati ya nyati ..Kushuka kwa mapato ya serikali ni janga kubwa
Nyati wamezaliana wamekua wengiKubwa lao ni yule mbogo katikati ya nyati ..
Wengi wao wakizidi wataingia mashambani na kuvuruga mazao ...Nyati wamezaliana wamekua wengi
Mazao ya chakula ndiyo yatakayovurugwa zaidi.Wengi wao wakizidi wataingia mashambani na kuvuruga mazao ...
Zaidi tunapaswa kufanya kazi kwa bidiiMazao ya chakula ndiyo yatakayovurugwa zaidi.
bidii na maarifaZaidi tunapaswa kufanya kazi kwa bidii
bidii na maarifa
Ujinga tenaMaarifa ni bora zaidi ya kuwa na ujinga
Tena haifai kuendelea kuwa mjinga hapa mjiniUjinga tena
Mjini kuna biashara mingi na maisha ya huko ni rahisi sanaTena haifai kuendelea kuwa mjinga hapa mjini
Nalog off
Rahisi sana hasa ukiwa na koneksheni la sivyo,utaomba ardhi ipasuke iwe pa kukimbiliaMjini kuna biashara mingi na maisha ya huko ni rahisi sana
Pa kukimbilia BurundiRahisi sana hasa ukiwa na koneksheni la sivyo,utaomba ardhi ipasuke iwe pa kukimbilia
Nalog off
Burundi iko ukanda wa Africa mashariki.Pa kukimbilia Burundi
Mashariki ya Pwani ndiko alikotokea yule mgeniBurundi iko ukanda wa Africa mashariki.
Mgeni njoo mwenyeji aponeMashariki ya Pwani ndiko alikotokea yule mgeni