Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Blue tourism ni utalii wa fukwe, beaches.baharini na vitabu vya usiku wa kiza...Angani kuna mawingu ya bluu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blue tourism ni utalii wa fukwe, beaches.baharini na vitabu vya usiku wa kiza...Angani kuna mawingu ya bluu
Kiza kinene ni moja ya wimbo bora kwanguBlue tourism ni utalii wa fukwe, beaches.baharini na vitabu vya usiku wa kiza...
Kwangu pakavu ntilie mchuzi na mboga..Kiza kinene ni moja ya wimbo bora kwangu
Mboga iliyopo haifai kwa kulaKwangu pakavu ntilie mchuzi na mboga..
Kula mapema ulale kwa wakati utaimarisha afyaMboga iliyopo haifai kwa kula
Afya ni kitu bora kwenye maisha yanguKula mapema ulale kwa wakati utaimarisha afya
Yangu macho, tutaona kitakachotokea mwisho wa sikuAfya ni kitu bora kwenye maisha yangu
Siku ya leo haikua njema kwanguYangu macho, tutaona kitakachotokea mwisho wa siku
Kwangu mi ilikuwa oya oyaSiku ya leo haikua njema kwangu
Oya oya kwasababu wewe kwenu mboga sabaKwangu mi ilikuwa oya oya
Mboga saba sio watu wa mchezo mchezoOya oya kwasababu wewe kwenu mboga saba
Mchezo ule haukua mzuri kwakoMboga saba sio watu wa mchezo mchezo
Kwako ilikua sio nzuri lakini sie ilitupoza roho.Mchezo ule haukua mzuri kwako
Roho yako na iwe na amaniKwako ilikua sio nzuri lakini sie ilitupoza roho.
Thamani ya kipek ni thahabuHazina ni kitu cha thamani
Amani ya Mungu iwe pamoja nasiRoho yako na iwe na amani
Tiyal mkuunipigie kura mkuu link hii hapa Story of Change - Ondoa hofu, anza sasa kuthubutu
Nasi kwa kutokujua kwetu akapitishwa kua kiongoziThamani ya kipek ni thahabu
Amani ya Mungu iwe pamoja nasi
Kiongozi anapaswa kuwa tumaini kwa wale anaowaongozaNasi kwa kutokujua kwetu akapitishwa kua kiongozi
Anaowaongoza hawana imani naye kwa Sababu hawakumchaguaKiongozi anapaswa kuwa tumaini kwa wale anaowaongoza
Hawakumchagua kwenye sanduku la kuraAnaowaongoza hawana imani naye kwa Sababu hawakumchagua