Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida hata iweje litaisha tu na faraja itatamalaki..Ndipo panapoleta shida
Faraja itatamaliki na nyuso zetu zitajaa furahaShida hata iweje litaisha tu na faraja itatamalaki..
Furaha ya kweli inapatikana kwa MunguFaraja itatamaliki na nyuso zetu zitajaa furaha
Mungu ndio kimbilio letuFuraha ya kweli inapatikana kwa Mungu
Kura zenu hazitafua dafu...
Dafu ndiyo nini? Nimewai sikia "hazitafua dafu" lakini sijawai elewa maana yake dafuKura zenu hazitafua dafu...
Dafu chanzo cha nazi kuzaliwa na mnazi kwanza nikujuze hilo...Dafu ndiyo nini? Nimewai sikia "hazitafua dafu" lakini sijawai elewa maana yake dafu
Hilo umenijuza nalo ni kidogo sanaDafu chanzo cha nazi kuzaliwa na mnazi kwanza nikujuze hilo...
Kidogo sana siwezi andika mistari nikajaza ukurasa...Hilo umenijuza nalo ni kidogo sana
Ukurasa huu ngoja nitupie na picha ya DafuKidogo sana siwezi andika mistari nikajaza ukurasa...
Dafu ni zuri kwa afyaDafu hapo pichani Kiongozi Haifungiki, ndio hilo Dafu
Kwa Afya, na faida zake ni nyingi MwiliniDafu ni zuri kwa afya
Jokofu uzunguni ni ya kuweka matunda, maji na viywajiWazungu wanayaweka madafu kwenye jokofu