HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
"Hospital zetu zinatoa huduma bora endeleeni kuziamini"Vipimo vingi vinakosekana kwenye hospital zetu
Nalog off
Nimenukuu maneno ya Waziri Mpango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Hospital zetu zinatoa huduma bora endeleeni kuziamini"Vipimo vingi vinakosekana kwenye hospital zetu
Nalog off
Mpango ni makamo wa Rais"Hospital zetu zinatoa huduma bora endeleeni kuziamini"
Nimenukuu maneno ya Waziri Mpango
Rais wa wasafi ana tabia chafu.Mpango ni makamo wa Rais
Tabia chafu inawagharimu wengiRais wa wasafi ana tabia chafu.
Wengi wenu humu ni vichwa maji[emoji28][emoji28]Tabia chafu inawagharimu wengi
Nalog off
Vichwa maji wengi hupenda kuwapa jina hilo wale ambao ni wajanja zaidi yao😂
Yao ni jina la kabila moja humu nchini tujuzane tunapotokea....Vichwa maji wengi hupenda kuwapa jina hilo wale ambao ni wajanja zaidi yao😂
Nalog off
Tunapotokea siko tunapoelekeaYao ni jina la kabila moja humu nchini tujuzane tunapotokea....
Tunapoelekea tuwe na Imani tutafika Salaama.
Salama ndiyo kondomu kongwe hapa nchini..Tunapoelekea tuwe na Imani tutafika Salaama.
Ni ipi nembo inayo ng'ara ikiwa angani ?Tofauti ya Haji Manara na Kigogo 2014 ni ipi?
Angani juu mawinguni..chii (Sijui Piere Liquid yuko wapi)..Ni ipi nembo inayo ng'ara ikiwa angani ?
Baa anayopenda kwenda ni ile ya kigamboni.Wapi tutampata labda baa
Kigamboni lazima uvuke majiBaa anayopenda kwenda ni ile ya kigamboni.
Matamu sana kama Maji ya DafuMaji ya kunywa yaliyotoka mtungini matamu sana.
Dafu tenaMatamu sana kama Maji ya Dafu
Tena Dafu la leo ukiacha utamu lina maji mengiDafu tena
Mengi ana watoto mapachaTena Dafu la leo ukiacha utamu lina maji mengi