Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Binaadamu wakatili hawatakiwi kwenye jamiiWanyamapori wanajilinda dhidi ya binadamu wakatili
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binaadamu wakatili hawatakiwi kwenye jamiiWanyamapori wanajilinda dhidi ya binadamu wakatili
Nalog off
Jamii inabidi iwe ya kiistarabuBinaadamu wakatili hawatakiwi kwenye jamii
Kiistarabu kuwakaribisha wageni ....Jamii inabidi iwe ya kiistarabu
Nalog off
Wageni wa usikuKiistarabu kuwakaribisha wageni ....
Usiku wa manane huwa kuna maajabu...!!Wageni wa usiku
Usiku ni kwa ajili ya mapumzikoWageni wa usiku
Mapumziko ahera...hapa ni kupambana tuUsiku ni kwa ajili ya mapumziko
Nalog off
Tumbua tumbua hadi wanyanyue mikono kusalimu amri......Mapumziko ahera...hapa ni kupambana tu
Amri za Mungu ni ngumuTumbua tumbua hadi wanyanyue mikono kusalimu amri......
Maajabu ya dunia yanatishaUsiku wa manane huwa kuna maajabu...!!
Ngumu kwa luwa wanadamu wanapenda kutenda maovuAmri za Mungu ni ngumu
Nalog off
Maovu yana rahaNgumu kwa luwa wanadamu wanapenda kutenda maovu
Raha ya dunia ni watotoMaovu yana raha
Nalog off
Watoto usipowafunza vyema watakupeleka motoniRaha ya dunia ni watoto
Motoni kuna raha yake hasa ukikulia kwenye baridiWatoto usipowafunza vyema watakupeleka motoni
Baridi ya mbeya haivumilikiMotoni kuna raha yake hasa ukikulia kwenye baridi
Nalog off
Haivumiliki kwa watu watokao maeneo ya jotoBaridi ya mbeya haivumiliki
Joto la dar limeanzaHaivumiliki kwa watu watokao maeneo ya joto
Nalog off
Limeanza na huku ni manyunyu manyunyuJoto la dar limeanza
Manyunyu ya mvua yameshamiriLimeanza na huku ni manyunyu manyunyu