Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Kuku wakisasa..Biashara ya kuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuku wakisasa..Biashara ya kuku
Kuku wa kisasa wanauzwa soko lá kisutuKuku wakisasa..
Kisutu ni sehemu katikati Jiji kuna soko jipya la kidijitali !!Kuku wa kisasa wanauzwa soko lá kisutu
Nalog off
Kidijitali tunafanya biashara zetuKisutu ni sehemu katikati Jiji kuna soko jipya la kidijitali !!
Zetu hazina faida kubwaKidijitali tunafanya biashara zetu
Kubwa lao limeshakamatwa na jeshi...Zetu hazina faida kubwa
Jeshi aka konde boyKubwa lao limeshakamatwa na jeshi...
Boy ni mvulana mchapa kazi mnyenyekevu hodari...Jeshi aka konde boy
Hodari ndio huibuka mshindiBoy ni mvulana mchapa kazi mnyenyekevu hodari...
Mshindi asiyekubali kushindwa atenguliwe !!Hodari ndio huibuka mshindi
Atenguliwe tu maana ameshindwa kutimiza wajibu wake.Mshindi asiyekubali kushindwa atenguliwe !!
Mtelezo utakubwaga vibaya na utu uzima wako MWALLA bado tunakupendawake zangu wemeninyima mtelezo
Tupo Pamoja katika uhai na mauti...Tunakupenda ukifa tu
Mauti yatamkuta kila mjaTupo Pamoja katika uhai na mauti...
Mja mwema anasifa mbili :- mosi anapopata shida au dhiki huwa Mina Swabirina pili anapokuwa ktk hali nzuri huwa mina Shakirina basi tumshukuru..Mauti yatamkuta kila mja
Tunamshukuru Mungu kwa uzima na afyaMja mwema anasifa mbili :- mosi anapopata shida au dhiki huwa Mina Swabirina pili anapokuwa ktk hali nzuri huwa mina Shakirina basi tumshukuru..
Afya haiuzwi sokoni wala madukani ni wajibu wa kila mtu kutunza..Tunamshukuru Mungu kwa uzima na afya
Kutunza pia kuna hitaji muda na gharamaAfya haiuzwi sokoni wala madukani ni wajibu wa kila mtu kutunza..