HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Kesi za kubambikiwa Upelelezi haukamilikiMahakamani kuna kesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi za kubambikiwa Upelelezi haukamilikiMahakamani kuna kesi
Haukamiliki kweliKesi za kubambikiwa Upelelezi haukamiliki
Kweli hii nchi sasa ni kama kichwa cha mwendawazimu.
mwendawazimu mda mwingine huonekana anafaaKweli hii nchi sasa ni kama kichwa cha mwendawazimu.
Anafaa, kwa, kitoweomwendawazimu mda mwingine huonekana anafaa
Kitoweo cha pakaAnafaa, kwa, kitoweo
Paka rangi kucha au paka kucha rangi, ipi sahihiKitoweo cha paka
Sahihi ya mwendazake imeonekana mapangoni na inatumika kama kivutio
Kivutio chake hakinishawishiSahihi ya mwendazake imeonekana mapangoni na inatumika kama kivutio
Nalog off ila naibukia inboboKivutio chake hakinishawishi
Nalog off
Nalog off ila naibukia inbobo
Jambo letu ni kesho pale Lupaso kwa MkapaInbobo kuna jambo
Jambo letu ni kesho pale Lupaso kwa Mkapa
Mtu ni utu na siyo kitu ubinadamu ndiyo kwanzaMkapa kwa Simba hatoki mtu
Kwanza naomba ajiraMtu ni utu na siyo kitu ubinadamu ndiyo kwanza
Hizi kasumba za watanashati zinawapoteza..Ajira zimekuwa ngumu siku hizi
Zinawapoteza mandezi.Hizi kasumba za watanashati zinawapoteza..
Zinawapoteza mandezi.
Kwani mi ni mtu au jituMandezi ndo wakina nani kwani?