Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Zinametameta kama nguo ya bi harusiMbinguni kuna nyota zinazometameta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinametameta kama nguo ya bi harusiMbinguni kuna nyota zinazometameta.
Umaskini ni janga la taifaMbinguni hakuna cha utajuri wala.umasikini
Taifa letu linaharibiwa na watu waongo waongoUmaskini ni janga la taifa
Waongo hao uongo ishakuwa hulka yaoTaifa letu linaharibiwa na watu waongo waongo
Sana sana tunapenda pesa.
Nakupenda kama dadaVyote fresh tu Ila Jambo moja la muhimu Abrianna nakupenda
Dada wa Mama kama mkubwa kwa Mama yako huitwa Mama MkubwaNakupenda kama dada
Mkubwa kama imani upendo MiujizaDada wa Mama kama mkubwa kwa Mama yako huitwa Mama Mkubwa
Miujza pesa tu kwanza nna stressMkubwa kama imani upendo Miujiza
Stress za nini tena nduguMiujza pesa tu kwanza nna stress
Ndugu anasema hana helaStress za nini tena ndugu
Hela ya kuhongaNdugu anasema hana hela
Kuhonga ili upate penzi unalo hitaji pia ni moja ya haki zetu wanaumeHela ya kuhonga
Wanaume wote ambao hawana hela wauwaweKuhonga ili upate penzi unalo hitaji pia ni moja ya haki zetu wanaume
Wauwawe ili dunia ibaki na mashoga au ibaki na wanawake.?Wanaume wote ambao hawana hela wauwawe
Wanawake wazuri wapoWauwawe ili dunia ibaki na mashoga au ibaki na wanawake.?
Wapo sasa wanaume wasio.na hela wakiuliwa watafikishwa kileleni na kina nani tenaWanawake wazuri wapo
Tena wauwawe tu maana hamna namnaWapo sasa wanaume wasio.na hela wakiuliwa watafikishwa kileleni na kina nani tena
Namna ni.kuwawezesha tu na kuwa vumilia maana dunia bila.wao haiendi barabaraTena wauwawe tu maana hamna namna