Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Bado tu wanataka tuwazee kila saa jamani waweke ubuyu tuupate ungali wa motoUshindi haujatangazwa bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tu wanataka tuwazee kila saa jamani waweke ubuyu tuupate ungali wa motoUshindi haujatangazwa bado
Bado sijachukuwa uaamuzi...Ushindi haujatangazwa bado
Moto unawaka romboBado tu wanataka tuwazee kila saa jamani waweke ubuyu tuupate ungali wa moto
Uamuzi upo mikononi mwakoBado sijachukuwa uaamuzi...
Rombo tena kule wanawake wanalalama kuwa wazee hawawezi shughuli ya mikikimikikiMoto unawaka rombo
Mwako nimelipenda chaguo hiloUamuzi upo mikononi mwako
Mikiki ya maisha haina mwishoRombo tena kule wanawake wanalalama kuwa wazee hawawezi shughuli ya mikikimikiki
Mwisho.wa ubaya ni aibuMikiki ya maisha haina mwisho
Aibu kwa kila mwenye nia mbayaMwisho.wa ubaya ni aibu
Hilo nalo nenoMwako nimelipenda chaguo hilo
Neno.nakupenda limekua jepesi sanaHilo nalo neno
Mbaya wanamfunga R kelly wa watu bureAibu kwa kila mwenye nia mbaya
Sana kwa sababu wahuni ni wengiNeno.nakupenda limekua jepesi sana
Bure ni gharamaMbaya wanamfunga R kelly wa watu bure
Gharama zilimzidi kulipaBure ni gharama
Kulipa deni.ni.makosaGharama zilimzidi kulipa
Makosa yakuvunja sheriaKulipa deni.ni.makosa
Sheria ni msumenoMakosa yakuvunja sheria
Msumeno unakata pande mbiliSheria ni msumeno
Mbili mara mbili nneMsumeno unakata pande mbili
Nne ni namba shufwaMbili mara mbili nne