Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Tusaidie kujua maisha ya kirohoKiswahili.si.hata wewe ni ticha tusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusaidie kujua maisha ya kirohoKiswahili.si.hata wewe ni ticha tusaidie
Kiroho.tupo pamoja ila kimwili tupo mbaliTusaidie kujua maisha ya kiroho
Mbali sana kule kijijiniTusaidie kujua maisha ya kiroho
Kushinda mechi dhidi ya liverpool ni mtihani mgumuKiroho kwatuu baada ya kushinda
Mgumu ipo mkoani maraKushinda mechi dhidi ya liverpool ni mtihani mgumu
Mgumu pia tunafaulu japo kibishi tuKushinda mechi dhidi ya liverpool ni mtihani mgumu
Mara huko.mwanamke.lazima.apigwe ndio ajue anapendwaMgumu ipo mkoani mara
Tu tu tu usinyoe nikusuke mabutu.Mgumu pia tunafaulu japo kibishi tu
Ajue anapendwa,ndio maana kipigo hakikomi.Mara huko.mwanamke.lazima.apigwe ndio ajue anapendwa
Hakikomi.na.wanavumilia mbata za kisawa sawaAjue anapendwa,ndio maana kipigo hakikomi.
Sawa ila mwanamke hapigwiHakikomi.na.wanavumilia mbata za kisawa sawa
Hapigwi ngumi anapigwa kwa sheria za kiunoniSawa ila mwanamke hapigwi
Kiunoni kuna hirizi kubwa inapumuaHapigwi ngumi anapigwa kwa sheria za kiunoni
Inapumua kishetani hiyo ishindwe na ilegeeKiunoni kuna hirizi kubwa inapumua
Ilegee kabisa kama bamiaInapumua kishetani hiyo ishindwe na ilegee
Bamia limekua neno pendwa kwa wadada waliokubuhu mielekaIlegee kabisa kama bamia
Mieleka siku hizi siangalii maana naogopa wanavyopiganaBamia limekua neno pendwa kwa wadada waliokubuhu mieleka
Wanavyopigana sio.mieleka ile ya kina john cena. Ni ile ya usiku wawili wawili wewe na baba chanja wakoMieleka siku hizi siangalii maana naogopa wanavyopigana
Wanavyopigana utadhani kweli, kumbe ni maigizo tu.Mieleka siku hizi siangalii maana naogopa wanavyopigana
Tu tulizane na wapendwa wetuWanavyopigana utadhani kweli, kumbe ni maigizo tu.