Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Nisimuone kwa sababu upo busy sana
Sana sana nimefurhia kukuona una afya njema tutafutane mtu wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisimuone kwa sababu upo busy sana
Sana sana nimefurhia kukuona una afya njema tutafutane mtu wangu
Wangu usijali Cha msingi Mungu katujalia uzimaSana sana nimefurhia kukuona una afya njema tutafutane mtu wangu
Sitamani hiyo vipi bwana shemejiWangu waubani, mwengine sitamani
Shemeji yangu kutoka kwa ndg zangu wa damu namsubiri kwa hamu.Sitamani hiyo vipi bwana shemeji
Shemeji yangu kutoka kwa ndg zangu wa damu namsubiri kwa hamu.
Uzima ndiyo kila kituWangu usijali Cha msingi Mungu katujalia uzima
Kitu cha thamani maishani ni nini?Uzima ndiyo kila kitu
Nini kwa maana ya uhai, afya njema, akili timamu, hofu ya Mungu basi unatoboa lifeKitu cha thamani maishani ni nini?
Life la waumini wengi mbona duni..Nini kwa maana ya uhai, afya njema, akili timamu, hofu ya Mungu basi unatoboa life
Life la waumini wengi mbona duni..
Duni kwa kuwa walokole/waumini wanasubiri miujiza bila kufanya kaziLife la waumini wengi mbona duni..
Kabisa na harusi yako ukaninyima wali weweNini zaidi ya uzima aluotujalia Mungu, hakuna kabisa
Kazi ndio msingi wa maishaDuni kwa kuwa walokole na waumini wanasubiri miujiza bila kufanya kazi
Kazi ndio msingi wa maisha
Maisha matamu lakn mafupi sana
Kenya ni Nchi ilio bara la AfricaSanapei ni mmoja kati ya wasanii wakonge nchini Kenya
Kenya ni Nchi ilio bara la Africa
Magharibi mjini visiwani pana pendezaAfrica tunaendeshwa sana na watu wa magharibi
Magharibi mjini visiwani pana pendeza