Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Kaku uliza kuhusiana na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kimekufanya umpende?Kaku uliza kuhusiana na nini?
Go ni jina la wimbo wa Common, yule msanii wa miondoko ya kufokafoka.Off you Go...
Kufokafoka ni tabia za wala ndumu
Uzi huu hauwezi kuharibika hata siku mojaWala ndumu waliojileta humu wanaharibu uzi
Baba Mungu anatusubiria kwa hamu
Uzi huu hauwezi kuharibika hata siku moja
Nini kimekufanya umpende?
Nalog off
Kumpenda ashuraUmpende? Nani huyo unataka kumpenda?
ashura nongwa bila shakaKumpenda ashura
Bila shaka fulani uongozi hauwezi!ashura nongwa bila shaka
Hauwez kula ugali bila mbogaBila shaka fulani uongozi hauwezi!
Nalog off
Mboga gani hiyo haijawekwa mafuta,?Hauwez kula ugali bila mboga
Mafuta ya kukuMboga gani hiyo haijawekwa mafuta,?
kuku wangu hutagia mibani?Mafuta ya kuku
Mibani ya mibakuku wangu hutagia mibani?
Miba iliowekwa wigo nyumbani kwa mama D pale...Mibani ya miba