El murjeb
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 483
- 2,126
Kama hujui unyamazeTamu kama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujui unyamazeTamu kama...
Unyamaze kimya wanapokuwa wazee wakishauriana jambo!!Kama hujui unyamaze
Jambo TzUnyamaze kimya wanapokuwa wazee wakishauriana jambo!!
TZ ni kiboko ya Afrika Mashatiki na ya kati !!Jambo Tz
Yupo kweli siku zote anawajibika kikamilifuKati patam kama bia ya marioo hivi Abrianna wangu yupo kweli?
Kikamilifu hakipo,vyote vina kasoroYupo kweli siku zote anawajibika kikamilifu
Kasoro ipi hiyo weka bayana.?Kikamilifu hakipo,vyote vina kasoro
weka bayana maana yake ni nini? au bayana ni mahali gani?Kasoro ipi hiyo weka bayana.?
Mahali gani, bayana maana ya ni details/uwazi !!weka bayana maana yake ni nini? au bayana ni mahali gani?
uwazi upi tena jamaniMahali gani, bayana maana ya ni details/uwazi !!
Jamani nimeoauwazi upi tena jamani
Nimeoa binamu Kwa radhaa zake na wazee wake wameridhia kimilaJamani nimeoa
Nimeoa lkn sasahivi kila mwanamke nikimtongoza hakataiJamani nimeoa
Hakatai kwa mtu yoyote ni mama huruma anagawa pasi yaani sio mchoyoNimeoa lkn sasahivi kila mwanamke nikimtongoza hakatai
Mchoyo hafai kwenye jamiiHakatai kwa mtu yoyote ni mama huruma anagawa pasi yaani sio mchoyo
Mchoyo hafai kwenye jamii
Wadanganyifu na wenyw wivu wasiopenda mafanikio ya wengineJamii yetu imejaa wadanganyifu
Wengine hawapendi ukipiga hatua wana roho za kichawi vikaragosi gaguraWadanganyifu na wenyw wivu wasiopenda mafanikio ya wengine
Kati ya nchi zinazotuzunguka naichukia nchi jiraniTZ ni kiboko ya Afrika Mashatiki na ya kati !!