Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hovyoo?? umeshindwa kuoambana na liver yakoSimba na yanga ni timu za hovyoo
Yako timu ni ipi hebu niambieHovyoo?? umeshindwa kuoambana na liver yako
Niambie kwanza wewe unavyoona nashabikia timu gani?Yako timu ni ipi hebu niambie
Gani labda simba au man u, mimi naoenda arsenal na liverpoolNiambie kwanza wewe unavyoona nashabikia timu gani?
Liverpool siioendi mimi nakubali Man U though tuko katika kipindi cha mpitoGani labda simba au man u, mimi naoenda arsenal na liverpool
Liverpool siioendi mimi nakubali Man U though tuko katika kipindi cha mpito
Muda unakimbia mwaka umeishaMpito unaopitia sasa ungehamia Chelsea kwa muda
Muda unakimbia mwaka umeisha
Hivi umeshanunua nguo ya krisimasi?Umeisha kama utani hivi
Hivi umeshanunua nguo ya krisimasi?
Kwani imekaribia?Krismasi yenyewe inasemaje kwani[emoji16]
Kwani imekaribia?
Mapema sana nimerudi NyumbaniImekaribia ndio, kwahiyo ni vizuri maandalizi yakafanywa mapema.
Nyumbani kumenogaMapema sana nimerudi Nyumbani
Kumenoga kwa midundo na nderemoNyumbani kumenoga
Nderemo na vifijo vimetamalaki katika sherehe.Kumenoga kwa midundo na nderemo
Sherehe ni watu, na watu ndo SisiNderemo na vifijo vimetamalaki katika sherehe.
Sherehe ni watu, na watu ndo Sisi
Funaliamsha dudeSisi wengine tunasibiri wakati wa kula tu