Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Majani yameota kwa wingiMimi napenda samaki namboga za majani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majani yameota kwa wingiMimi napenda samaki namboga za majani
Wingi wa maovu ni chanzo cha maafa na majanga katika jamiiMajani yameota kwa wingi
Jamii inapaswa kuelimishwa kuhusu hiliWingi wa maovu ni chanzo cha maafa na majanga katika jamii
Wingi wa maovu ni chanzo cha maafa na majanga katika jamii
Kariakoo iliungua motoJamii forum users tukiamua basi tunaijaza kariakoo
Kariakoo iliungua moto
Kuuzima ilishindikanaMoto ukiwaka hakuna wa kuuzma
Ilishindikana kwa ubishi wakoKuuzima ilishindikana
Ilishindikana kwa ubishi wako
Bongo bahat mbayaWakongo wanatamani kongo ingekuwa bongo
Bongo bahat mbaya
Ndugu n lawamaMbaya ndugu
Lawama zingine za kujitakiaNdugu n lawama
Kujitakia ni kujitakiwa mwenyeweLawama zingine za kujitakia
Kujitakia matatizo mengine ambayo yanahepukikaLawama zingine za kujitakia
Yanaepukika ndio kama ukiamuaKujitakia matatizo mengine ambayo yanahepukika
Kusali ni jambo jema na linalo tujenga kirohoLenie anapenda kusali