Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In this world, you know you have to hustle
Just know that you're not alone
Kwamba unamkubaliMoyo wangu una sehemu spesheli kabisa kwaajili yako
Itoshe tu kusema kwamba...
Unamkubali pep kuwa katika maisha yako?Kwamba unamkubali
Maisha yako ndio yako, furahia Maisha yako, miliki Maisha yako, tengeneza Maisha yako, ishi Maisha yakoUnamkubali pep kuwa katika maisha yako?
Yako maisha usiige ya wengineMaisha yako ndio yako, furahia Maisha yako, miliki Maisha yako, tengeneza Maisha yako, ishi Maisha yako
Wengine wanataja magari na farasi,ila mimi nitalitaja Jina lako BWANA wangu.Yako maisha usiige ya wengine
Wangu wa ubani leo amenuna.Wengine wanataja magari na farasi,ila mimi nitalitaja Jina lako BWANA wangu.
Amenuna hujamuachia mkwanja [emoji3][emoji3][emoji3]Wangu wa ubani leo amenuna.
Mkwanja january ya moto mnoAmenuna hujamuachia mkwanja [emoji3][emoji3][emoji3]
Mno nazidi kupenda yule.Mkwanja january ya moto mno
Kabisa naaminiMno nazidi kupenda yule.
Kuninunia hawezi kabisa[emoji4]
Naamini amesoma huo ujumbe😂😂Kabisa naamini
Ujumbe wa kushukuruNaamini amesoma huo ujumbe😂😂
Kushukuru ni lazima kwa kila ulipitialoUjumbe wa kushukuru
Upitialo si la kudumu..lina mwisho;Kushukuru ni lazima kwa kila ulipitialo
Mkuu wa majeshi ndiye alitoa hiyo amri.Upitialo si la kudumu..lina mwisho;
Jipe moyo mkuu.
Amri iliyo kuu na inayojumlisha amri zote ni Upendo.Mkuu wa majeshi ndiye alitoa hiyo amri.
Upendo wangu kwenu hauelezekiAmri iliyo kuu na inayojumlisha amri zote ni Upendo.
Upendo wangu kwenu hauelezekiAmri iliyo kuu na inayojumlisha amri zote ni Upendo.