HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Aliye juu kwenye hii michano ni WEWE
Wote tunajua kwamba huwezi kwenda kwa mwingine, Yeye ndio yeye
Huyo Mtoto huyo...
Huyo Binti huyo...
Kwao walinzi wakali hatari hatari...
Baba Mtumishi akampigia simu huyo anamrusha stimu...
Analeta mapozi kesho wakutane Nando's...
Baba Mtumishi hakufa moyo kesho ikafika...
Nando's wakafika wakawa wanaburudika...
Bado Mtoto hamuelewi Baba Mtumishi anataka kupajua kwake...
Akaone mambo yake...
Baba Mtumishi hakutaka kumficha lakini moyo unasita...
Vyote alivyomtajia kwake atavikuta?...
Au Baba Mtumishi atagonga ukuta Kachaa ataumbuka...
Haaaa wamefika home...
Baba Mtumishi akamkaribisha kwa makeke...
Karibu karibu mgeni...
Jisikie upo Nyumbani sebuleni...
Kwakua umekuja leo wewe sema nini unataka, Mama Mtumishi akajibu Chips Kuku 🤣🤣🤣🤣🤣