Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Watanzania ni vipaji hebu angalia watu wanavyotiririka na huu uzi, yaani unanifanya nijisikie raha hadi nasahau kuwa naongozwa na mr dhaifu na chama chake.
 
Liwe jitu la miraba minne, lifupi na linene....... litaweza kupigana na kamanda.
 
Kamanda yule aliyeusika kumtesa dr ulimboka yuko wap,au amepewa kazi nyingine na Mr dhaifu?
 
Tabia ya kung'oana meno au kucha bila ganzi ikome mara moja hata kama mnataka kuua.
 
Binadamu wana wivu sana haswa wanapoona mtu amefanikiwa
 
Back
Top Bottom